J Jichokuu Member Joined Apr 28, 2012 Posts 48 Reaction score 1 Jun 9, 2012 #1 Kuna mmama mmoja alikuwa akitumia pills zikamzingua akaziacha 1wk laterakaenda hspl kuweka loop yapata miezi 5 na ss anadalili za mimba(tumbo kujaa),je km ni mimba ni madhara yapi yatampata mtt?
Kuna mmama mmoja alikuwa akitumia pills zikamzingua akaziacha 1wk laterakaenda hspl kuweka loop yapata miezi 5 na ss anadalili za mimba(tumbo kujaa),je km ni mimba ni madhara yapi yatampata mtt?