maria pia JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 516 Reaction score 118 Jul 28, 2012 #1 nina adivance diploma ya marketing,(frm CBE)natafuta kazi zaidi ya mwaka....msaada wenu wana jf
Nyaubwii JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 229 Reaction score 55 Jul 28, 2012 #2 Fanya mpango upate degree labda hiyo elimu haitoshi, siku hizi ushindani mkubwa sana mkuu.
SYENDEKE Senior Member Joined Jul 18, 2011 Posts 169 Reaction score 26 Jul 28, 2012 #3 ukiona njia moja inakataa jaribu njia nyingine usipende kungangania njia moja halafu jaribu kuangalia na mfumo unao tumia kuomba hizo na ukaweza kufanya tathimini nini kinakukwamisha but best wishes
ukiona njia moja inakataa jaribu njia nyingine usipende kungangania njia moja halafu jaribu kuangalia na mfumo unao tumia kuomba hizo na ukaweza kufanya tathimini nini kinakukwamisha but best wishes
Sema Chilo JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 324 Reaction score 25 Jul 29, 2012 #4 tembelea humu kila siku mpaka kieleweke www.zoomtanzania.com kila siku. Pia update CV yako iwe ya kisasa zaidi
tembelea humu kila siku mpaka kieleweke www.zoomtanzania.com kila siku. Pia update CV yako iwe ya kisasa zaidi
maria pia JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 516 Reaction score 118 Aug 1, 2012 Thread starter #5 thanx kwa ushauri
maria pia JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 516 Reaction score 118 Aug 1, 2012 Thread starter #6 Nyaubwii said: Fanya mpango upate degree labda hiyo elimu haitoshi, siku hizi ushindani mkubwa sana mkuu. Click to expand... Mkuu namalizia masters yangu,npo kwny research bt nikiomba natumia hyo coz sehem nyingi ukiomba na masters wanazingua
Nyaubwii said: Fanya mpango upate degree labda hiyo elimu haitoshi, siku hizi ushindani mkubwa sana mkuu. Click to expand... Mkuu namalizia masters yangu,npo kwny research bt nikiomba natumia hyo coz sehem nyingi ukiomba na masters wanazingua