M Mtz.mzalendo JF-Expert Member Joined Jul 22, 2012 Posts 357 Reaction score 49 Oct 2, 2012 #1 Samahani wadau naomba kuuliza kama naweza kuamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine,sababu nimechaguli vyuo viwili na mkopo nimepelekewa chuo nisichokipenda,nawasilisha.
Samahani wadau naomba kuuliza kama naweza kuamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine,sababu nimechaguli vyuo viwili na mkopo nimepelekewa chuo nisichokipenda,nawasilisha.