Msaada

Msaada

Mtz.mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2012
Posts
357
Reaction score
49
Samahani wadau naomba kuuliza kama naweza kuamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine,sababu nimechaguli vyuo viwili na mkopo nimepelekewa chuo nisichokipenda,nawasilisha.
 
Back
Top Bottom