msaada

msaada

isack msemo

New Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
4
Reaction score
0
jamani naomba mnisaidie wadau wa JF nilimaliza fm4 nikapata pass 2 nikasoma certificate nkaonganisha diploma ya procurement je nataka kusoma na degree nitakubaliwa na cheti cha fm4 kinakuwa akina kazi sana kwakuwa nina certificate
 
Back
Top Bottom