Msaada

utoto@ work

ila atapata mimba ya mashavu
 
Jitahidi kuzimwagilia kwa wingi,naamini huo mmea wa hizo mbegu utachipua kwa kasi mno!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Inasikitisha pale jukwaa la taaluma linapoingiliwa na utani, mleta mada strit boy, ulimaanisha hujui kwamba akimeza ukimeza chochoe huenda kwenye mfumo wa chakula and hakuna madhara yoyote? anachoweza kupata kama ulikuwa na shida kama vipile Herpes basi mkeo anaweza kuvipata katika mdomo wake.. hawezi kupata ujauzito, mfumo wa chakula na uzazi ni vitu viwili tofauti sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…