Inasikitisha pale jukwaa la taaluma linapoingiliwa na utani, mleta mada strit boy, ulimaanisha hujui kwamba akimeza ukimeza chochoe huenda kwenye mfumo wa chakula and hakuna madhara yoyote? anachoweza kupata kama ulikuwa na shida kama vipile Herpes basi mkeo anaweza kuvipata katika mdomo wake.. hawezi kupata ujauzito, mfumo wa chakula na uzazi ni vitu viwili tofauti sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.