P Professor of jungle JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 422 Reaction score 802 Oct 24, 2012 #1 nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo nifanye application tena mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
nimechaguliwa UDOM nimeshafanya na usajili nimelipa na kiasi nachohtaji kuchangia ila nataka niachane na chuo nifanye application tena mwakani je inawezekana? mkopo naweza pewa kwa mara ya pili?
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,483 Reaction score 3,369 Oct 24, 2012 #2 Subiria wadau waje kijana na mambo ya alam hatuhitaji hapa JF! Hata mpaka kesho utapata majibu mazuri tu!
Subiria wadau waje kijana na mambo ya alam hatuhitaji hapa JF! Hata mpaka kesho utapata majibu mazuri tu!