msaada

Lady G

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
515
Reaction score
131
habari wakuu. Mdg wangu kapata miscarrage, na akasafishwa anaendelea vyema. Je ni muda gani anatakiwa upite ndipo anaweza kukutana na mumewe tena. Thanx indeed
 
..just few day,ingawa mi sio dokta cha msingi akiwa hana maumivu,mambo yanaendelea. kama anamaumivu na kisaikolojia hajakaa njema apewe muda wa kupumzika...
 
Thanx Gefu for quick reply.
 
Last edited by a moderator:
..just few day,ingawa mi sio dokta cha msingi akiwa hana maumivu,mambo yanaendelea. kama anamaumivu na kisaikolojia hajakaa njema apewe muda wa kupumzika...

Kwa kuwa sio dk, naogopa kukuuliza swali la ufahamu. Thanx though
 
..just ask, i had the same experience with my wife, nikishindwa watanisaidia wengine..
 
Ok Gefu nasikia ukitoka ktk hali hiyo kizazi kinakuwa wazi hivyo kuna uwezekano mkubwa wa ku consive tena.
 
Last edited by a moderator:
Ok Gefu nasikia ukitoka ktk hali hiyo kizazi kinakuwa wazi hivyo kuna uwezekano mkubwa wa ku consive tena.
..sio kweli, bali ata kaa mpaka mwili uadjust na kujua kwamba hakuna kiumbe tumboni,baadaye sikumbuki muda exactly lakini nadhani hutegemea mwili unarecover haraka kiasi gani,hapo ataanza kupata siku zake kama kawaida,there is when she can conceive again. sijui kama nimejibu vizuri wataaluma wataongezea..
 
..just few day,ingawa mi sio dokta cha msingi akiwa hana maumivu,mambo yanaendelea. kama anamaumivu na kisaikolojia hajakaa njema apewe muda wa kupumzika...

Pia anatakiwa asibebe ujauzito kwa miezi 6 ili kuweza kuruhusu kizazi kupona vizuri na kuwa tayari kubeba ujauzito tena, hivyo anashauriwa kutumia kinga, pia ni kipindi ambacho angefanyiwa vipimo zaidi kuweza kujua nini kilisababisha ujauzito kuharibika na kuweza kutoa tiba sahihi kama kuna uwezekano wa tatizo kujirudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…