msaada

msaada

radox006

New Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
1
Reaction score
0
naombeni kujua haya makampuni yanayotoa mikopo kwa wafanyakazi riba wanzo toza hujipangia wao au hupewa kiwango na benki kuu kisheria?
 
Tafuta hao wanaokopesha walimu, Laki moja mwisho wa mwezi unarudisha laki moja na thelathini.
Lakini lazima ukabidhi ATM yako.
 
Back
Top Bottom