Msaada

Msaada

jaman nikifungua profile yangu inaandika vitu vya ajabu!!!!cjui wenzangu uko vp
 
inaniandia proceed pale afu kuna maelezo kwa chini cjayaelewa vzr
 
saizi imerudi kama mwanzo!!!!!lakini jana c ndo ilikua mwisho wa kuaply kwa wale wa mara ya pili?
 
Hivi kambi gani ya jkt leo wametoa pass maana kuna watu wamekuja na mawenge humu bila shaka ni kuruta.
 
Back
Top Bottom