Msaada

Msaada

jwhizzy

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
680
Reaction score
389
Wakuu poleni na majukumu..nina ndugu yangu ana tatzo la mkono wake kutetemeka kwa mda kama wa dakika nane hvi, kila siku hali ile ina mtokea tuenda hospitali kapewa dawa zilimsaidia kidogo lakini hali ikaendelea hivyo hivyo. Naombeni msaada itakuwa tatizo gani hili.
 
Hio Hali imeanza lini?anatetemeka mkono tu au sehemu nyingine za mwili pia?anatumia/alishatumia dawa zozote kutibu magonjwa mengine?
 
Limeanza mda mrefu kama mwaka hvi..dawa amesha tumia ila hajaweza kwenda ktk hospitali kubwa kutokana gharama pia ni mkono tu ndio unatetemeka hali hii haswa umtokea mida ya asubuhi anapo amka.
 
Back
Top Bottom