Dodo18
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 315
- 93
Mzee wameuza nyumba yao ya familia na ndungu zake, ana mpango wa kutugawia watoto wake wawili 10 million each tuanzie maisha.. Sasa sijui nifungue M-pesa na Tigo pesa ya kisasa? Sijui itanilipa au nitapoteza hela tu maana nitakua na mtaji wa kutosha.. Pls nisaidieni kwa mawazo