J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Nov 5, 2013 #1 Naomba msaada wenu wadau wa lugha mimi naishi dodoma nahitaji kujifunza lugha ya kingereza niijue vizuri kwa kuiandika na kuiongea!je ninani/mahali gani kwahapa dodoma naweza kupata msaada kwa hilo?
Naomba msaada wenu wadau wa lugha mimi naishi dodoma nahitaji kujifunza lugha ya kingereza niijue vizuri kwa kuiandika na kuiongea!je ninani/mahali gani kwahapa dodoma naweza kupata msaada kwa hilo?
J Jackson Barnabas Member Joined Jun 22, 2013 Posts 61 Reaction score 3 Nov 5, 2013 Thread starter #2 Naombeni msaada wenu tafadhali!