msaada...

msaada...

Joined
Jun 22, 2013
Posts
61
Reaction score
3
Naomba msaada wenu wadau wa lugha mimi naishi dodoma nahitaji kujifunza lugha ya kingereza niijue vizuri kwa kuiandika na kuiongea!je ninani/mahali gani kwahapa dodoma naweza kupata msaada kwa hilo?
 
Back
Top Bottom