Asante,nitajitahidi kufanya hivyo. Sasa,kuna hizi sehemu wanauza maziwa ya ng'ombe,chakula na vinywaji,unakuta wanasema huyu anachukua maziwa kwa bili(Bill),au huyu anakula chakula kwa bili(Bill),au yule anakunywa bia kwa bili(Bill). Na hao wateja utasikia wanakwambia nimeweka bili(Bill) ya kuchukua maziwa ya ng'ombe pale,au ya chakula pale. Je,atakuwa sahihi akisema anakula au kunywa kwa mahesabu/hesabu?