Msaada

Msaada

Spider

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2011
Posts
1,640
Reaction score
550
Naomba kufahamu kiswahili cha maneno haya,
1.BILL
2.INVOICE
 
BILL ~ hesabu ama mahesabu
INVOICE~ ankara

ongeza urafiki wako na google.
 
Asante,nitajitahidi kufanya hivyo. Sasa,kuna hizi sehemu wanauza maziwa ya ng'ombe,chakula na vinywaji,unakuta wanasema huyu anachukua maziwa kwa bili(Bill),au huyu anakula chakula kwa bili(Bill),au yule anakunywa bia kwa bili(Bill). Na hao wateja utasikia wanakwambia nimeweka bili(Bill) ya kuchukua maziwa ya ng'ombe pale,au ya chakula pale. Je,atakuwa sahihi akisema anakula au kunywa kwa mahesabu/hesabu?
 
Back
Top Bottom