Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gono au kaswende....
Naomba mnisaidie wadau najihs naumwa lakin cjui ni ugonjwa gan! Ila nina dalili hizi kwanza shahaw zangu znatoka zkiwa nzito af kama znafutika flan na nakojoa mkojo yellow yellow hiv na maumivu wakat wa kukojoa nisaidien et unaweza kuwa ni ugonjwa gan?
Weka picha!
Hahaha. Shahawa zinakuwa over rippen. Google that
Uko poa tu, kunywa maji lita 2-3 kwa siku..