B BABA CHANJA Member Joined May 23, 2013 Posts 75 Reaction score 7 Jan 19, 2014 #1 Jamani wa kongwe wa lugha ya kimombo nisaidieni maana ya msemo huu kwa kiswahili- WIN WIN SITUATION. natanguliza shukrani
Jamani wa kongwe wa lugha ya kimombo nisaidieni maana ya msemo huu kwa kiswahili- WIN WIN SITUATION. natanguliza shukrani
ole tomito Member Joined Jan 2, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Jan 19, 2014 #2 Maana yake kwa lugha rahisi kabisa ni "ukitaka kula,lazma na wewe uliwe".
LILENDI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 1,400 Reaction score 496 Jan 19, 2014 #3 shinda shinda hali....kwikwikwi. ngoja waje wenyewe