Msaada

Msaada

BABA CHANJA

Member
Joined
May 23, 2013
Posts
75
Reaction score
7
Jamani wa kongwe wa lugha ya kimombo nisaidieni maana ya msemo huu kwa kiswahili-
WIN WIN SITUATION.

natanguliza shukrani
 
Maana yake kwa lugha rahisi kabisa ni "ukitaka kula,lazma na wewe uliwe".
 
shinda shinda hali....kwikwikwi.
ngoja waje wenyewe
 
Back
Top Bottom