msaada

msaada

ngaronaro

Senior Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
124
Reaction score
20
Habari za humu jaman,Ninaomba msaada kwa anayejua vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya crinical officer anijuze tafadhar....kuhusu ufahulu nimemaliza form six nina two ya 12 CBG ila nina F ya BAM,zaid nilichaguliwa kusoma ualim pale UDSM sikwenda mwaka jana kwan ilikuwa so fan yangu kwa sasa napiga tempo hapahapa Tanzania
 
Ok,ushauri wa bure nenda kapige veterinary medicine pale sua..achana na mambo ya ualimu,utakufa ukiwa maskini.over
 
Back
Top Bottom