Billy Durability
New Member
- Mar 16, 2014
- 3
- 0
Jamani naomba kuuliza, ninataka kufungua m pesa ya million moja"
naomba ufafanuzi jinsi ya kupata faida na kiwango unacholipwa kama wakala
anayefahamu anijuze jamani
naomba ufafanuzi jinsi ya kupata faida na kiwango unacholipwa kama wakala
anayefahamu anijuze jamani