Msaada

Msaada

shebentereal

New Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
2
Reaction score
2
Heshima mbele wakuu,
Mimi ni mgeni katika haya majukwaa,nilikuwa naomba msaada wenu wa kupata listi ya shule zote za sekondari na maeneo zilizopo(nikimaanisha wilaya na mkoa) ntafurahi zaidi kama zitakuwa kwenye excell na discription ya kama ina umeme au haina,nimehangaika sana sana bila mafanikio,naomba mnisaidie,kwani nimejiandikisha baada ya kuambiwa humu vingi havishindikanagi,Asanteni
 
Back
Top Bottom