Bonny Masih Senior Member Joined Apr 20, 2014 Posts 120 Reaction score 31 May 6, 2014 #1 Naomba kufahamishwa wana jf ni chuo gani kizuri kusomea mambo ya graphic and design mana niuliza ucc nimeambia hadi mwezi wa 11 msaasa tafadhali.
Naomba kufahamishwa wana jf ni chuo gani kizuri kusomea mambo ya graphic and design mana niuliza ucc nimeambia hadi mwezi wa 11 msaasa tafadhali.
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 May 7, 2014 #2 kama hutajari tafuta kwanza materials ya kutosha kama vitabu videos uanze kusoma kwanza mwenyewe huku unasubil hao jamaa wa UCC.
kama hutajari tafuta kwanza materials ya kutosha kama vitabu videos uanze kusoma kwanza mwenyewe huku unasubil hao jamaa wa UCC.