Msaada

Msaada

Bonny Masih

Senior Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
120
Reaction score
31
Naomba kufahamishwa wana jf ni chuo gani kizuri kusomea mambo ya graphic and design mana niuliza ucc nimeambia hadi mwezi wa 11 msaasa tafadhali.
 
kama hutajari tafuta kwanza materials ya kutosha kama vitabu videos uanze kusoma kwanza mwenyewe huku unasubil hao jamaa wa UCC.
 
Back
Top Bottom