Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Habarini wandugu!!
Nina tatizo limenitokea ni la kupata uvimbe kwenye taya la kushoto, Ni kama linafanana na kuvimba tezi ila kutokana na madaktari wanasema siyo uvimbe wa tezi na bado hawajajua ni nini hasa!
Nimepima damu na hakukua na infection yeyote. Nilipewa dawa ya Ampliclox na Brufen nitumie lakini sijapata nafuu na uvimbe unazidi kuwa mkubwa! Naomba msaada kwa anayejua dawa nzuri ya hili tatizo anieleze.
Asante