Msaada

Msaada

Jane Malyi

New Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
2
Reaction score
2
Habari wana jf,naomba msaada anayejua chuo kizuri chenye mafunzo yaurembo mahali kilipo hapa Dar
 
Habari wana jf,naomba msaada anayejua chuo kizuri chenye mafunzo yaurembo mahali kilipo hapa Dar

tembelea website ya chuo kikuu huria cha tanzania.(www.out.ac.tz).kuna nafasi za ufadhili za kusomea masomo ya urembo kwa miezi 6 nadhani.ni scholarship,na posho unakuwa ukilipwa.mwisho wa kuapply ni tar 27.

kazi kwako
 
We mzuri 1 sio unataka masuala ya urembo wakati we mwenye ..........
 
Back
Top Bottom