selebravekid
Member
- Apr 22, 2014
- 13
- 5
No usimpe dawa yoyote mpaka baada ya week ndio unaweza tafuta tiba Mara nyingi ni kawaida kwa watoto wachanga hasa wakianza kutumia maziwa ya kopo
Muda bado mpaka miez miwil au mitatu
Hakuna tatizo Dada Mimi wangu anamiezi minne kuna muda anakaa hadi cku 10 hajapata choo.nimeshampeleka hospital doctor akasema hakuna tatizo nijambo la kawaida maziwa anayonyonya yote anajenga mwili so hakuna mabaki ya kutoka kama uchafu
Cha kunishangaza ni kwamba anajamba mara kwa mara na harufu inakua kali. Pia anajinyonga nyonga...
Muda bado mpaka miez miwil au mitatu