Msaada

Msaada

selebravekid

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
13
Reaction score
5
Mwenye ufahamu kuhusu dawa ya kukosa haja kubwa kwa mtoto wa mwezi mmoja na wiki mbili. Mana leo ni siku ya tatu hajapata haja kubwa.
 
No usimpe dawa yoyote mpaka baada ya week ndio unaweza tafuta tiba Mara nyingi ni kawaida kwa watoto wachanga hasa wakianza kutumia maziwa ya kopo
 
No usimpe dawa yoyote mpaka baada ya week ndio unaweza tafuta tiba Mara nyingi ni kawaida kwa watoto wachanga hasa wakianza kutumia maziwa ya kopo

Cha kunishangaza ni kwamba anajamba mara kwa mara na harufu inakua kali. Pia anajinyonga nyonga...
 
mpe maji yaliosafi nasalama,chemsha yapate joto kwambali,fanya kumpa vjikiko v2 mara3.utapata matokeo.
 
Hakuna tatizo Dada Mimi wangu anamiezi minne kuna muda anakaa hadi cku 10 hajapata choo.nimeshampeleka hospital doctor akasema hakuna tatizo nijambo la kawaida maziwa anayonyonya yote anajenga mwili so hakuna mabaki ya kutoka kama uchafu
 
Asanteni sana yule mtoto wangu amepata choo. Nilishtuka mana leo nisku ya tatu. Sikua nafahamu kumbe ni kawaida santeni sana kwa ushauli
 
Hakuna tatizo Dada Mimi wangu anamiezi minne kuna muda anakaa hadi cku 10 hajapata choo.nimeshampeleka hospital doctor akasema hakuna tatizo nijambo la kawaida maziwa anayonyonya yote anajenga mwili so hakuna mabaki ya kutoka kama uchafu

Kweli aisee. Mtoto mwenyewe ni wa kwanza ndo mana vitu vingi ni vigeni. Kapata choo leo
 
MKUU ikizidisikusaba nendapalemataa ya faya kunjakuliakamaunaemda kariakoo kuna hopsitalyawatoto yulebabumzuri anakupadawamojayanjano unampaka chiniyakirovu sorry kitovu ash name jioni ukienda now akipi mpakasikusaba ziishe
 
Back
Top Bottom