wida JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 247 Reaction score 40 Dec 29, 2014 #1 naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo
naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,368 Dec 29, 2014 #2 wida said: naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo Click to expand... Emu fafanua hilo donge maana wengine sio wataalamu sana wa kiswahili... ila uki amplify hilo tatizo tutalielewa na utapewa ushauri
wida said: naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo Click to expand... Emu fafanua hilo donge maana wengine sio wataalamu sana wa kiswahili... ila uki amplify hilo tatizo tutalielewa na utapewa ushauri