msaada

msaada

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo
 
naombeni kuuliza,msichana wangu anahisi anadonge chini ya kitovu na akienda haja huhisi kama linataka kutoka .msaada je ni nini tatizo

Emu fafanua hilo donge maana wengine sio wataalamu sana wa kiswahili...
ila uki amplify hilo tatizo tutalielewa na utapewa ushauri
 
Back
Top Bottom