kuna mfanyakazi wa shirika la posta...alifariki akiwa kazini(hajastaafu)...lkn katika kufuatilia mafao...shirika limesema lenyewe halitoi aina yeyote ile ya mafao...ninavyojua ni shirika la umma.....je ni kweli au pesa zimeliwa na wajanja.......msaada wa mawazo