Msaada

Msaada

Beka-one

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
36
Reaction score
3
Ndugu wana jamii forum mie nina kaka yang mkubwa tu huwa miguu yake inapenda sana kuweka moto ndani yake,sasa munaweza kunisaidiaje juu ya hili tatizo.
 
Kweli una tatizo, ngoja wanaojua waje.
 
Ana umri gani na shughuli zake ni Zipi? Majibu yatagegemea muda toka tatizo lianze na umri alionao
 
Dugu wana jamii forum mie nina kaka yang mkubwa tu huwa miguu yake inapenda xana kuweka moto ndani yake,sasa munaweza kunisaidiaje juu ya hili tatizo.

sijakielewa ulichokiandika, andika tena.
 
Ana umri wa miaka 30 na shughuli yake yeye ni mfanya biashara
 
sijakielewa ulichokiandika, andika tena.
Mkuu mtzedi inaonyesha Mkuu.@Beka-one ana asili ya kichina anaandika kiswahili pamoja na herufi za kichina.

Beka nenda Jf doctor.. hlf andika vizuri
Anaandika kichina china tangu waje hapo wachina basi hata wabongo wanawaiga wachina herufi zao. Hatuwezi kumsaidia mtu ambaye hata kuandika Lugha ya kiswahili kwa ufasaha hajuwi muache mgonjwa wake aendelee kuumwa mpaka atakapo andika kiswahili vizuri.Mkuu TheSmartLady
 
Mkuu mtzedi inaonyesha Mkuu.@Beka-one ana asili ya kichina anaandika kiswahili pamoja na herufi za kichina.

Anaandika kichina china tangu waje hapo wachina basi hata wabongo wanawaiga wachina herufi zao. Hatuwezi kumsaidia mtu ambaye hata kuandika Lugha ya kiswahili kwa ufasaha hajuwi muache mgonjwa wake aendelee kuumwa mpaka atakapo andika kiswahili vizuri.Mkuu TheSmartLady
Beka inaonekana we mgeni jf ..dokta wetu ndo huyu MziziMkavu sasa Kama hata yeye kashindwa kusoma ulichoandika sijui huo msaada utaupata vipi. andika kiswahiliiii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom