Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dugu wana jamii forum mie nina kaka yang mkubwa tu huwa miguu yake inapenda xana kuweka moto ndani yake,sasa munaweza kunisaidiaje juu ya hili tatizo.
Mkuu mtzedi inaonyesha Mkuu.@Beka-one ana asili ya kichina anaandika kiswahili pamoja na herufi za kichina.sijakielewa ulichokiandika, andika tena.
Anaandika kichina china tangu waje hapo wachina basi hata wabongo wanawaiga wachina herufi zao. Hatuwezi kumsaidia mtu ambaye hata kuandika Lugha ya kiswahili kwa ufasaha hajuwi muache mgonjwa wake aendelee kuumwa mpaka atakapo andika kiswahili vizuri.Mkuu TheSmartLadyBeka nenda Jf doctor.. hlf andika vizuri
Beka inaonekana we mgeni jf ..dokta wetu ndo huyu MziziMkavu sasa Kama hata yeye kashindwa kusoma ulichoandika sijui huo msaada utaupata vipi. andika kiswahiliiiiMkuu mtzedi inaonyesha Mkuu.@Beka-one ana asili ya kichina anaandika kiswahili pamoja na herufi za kichina.
Anaandika kichina china tangu waje hapo wachina basi hata wabongo wanawaiga wachina herufi zao. Hatuwezi kumsaidia mtu ambaye hata kuandika Lugha ya kiswahili kwa ufasaha hajuwi muache mgonjwa wake aendelee kuumwa mpaka atakapo andika kiswahili vizuri.Mkuu TheSmartLady