Msaada:

Cicinho

Senior Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
165
Reaction score
13
Yeyote anaefahamu kuhusu "Quantitative revolution" nahitaji msaada wake juu ya hyo issue
 
Yeyote anaefahamu kuhusu "Quantitative revolution" nahitaji msaada wake juu ya hyo issue
unge dadavua mkuu hiyo quantitative revolution inapatikana kaika nyanja gani mana quantitative zipo sehemu nyingi mkuu hayo ni mambo ya mahesabu pia na research pia zpo quantitative sasa wewe unahitaji msaada katika idara gani au katika kozi au somo gani
 
Hyo ipo katika geography tunasoma katika kozi ambayo inaitwa "geographical thought"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…