Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unge dadavua mkuu hiyo quantitative revolution inapatikana kaika nyanja gani mana quantitative zipo sehemu nyingi mkuu hayo ni mambo ya mahesabu pia na research pia zpo quantitative sasa wewe unahitaji msaada katika idara gani au katika kozi au somo ganiYeyote anaefahamu kuhusu "Quantitative revolution" nahitaji msaada wake juu ya hyo issue