Msaada...

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Habari zenu waheshimiwa mabibi na mabwana.....
Mimi ni kijana wa kiume,tatizo langu ni maumivu ya nyonga yananisumbua sana,nikiinama shida,nimejaribu kufanya mazoezi ya nyonga lkn bado.Wakuu naombeni msaada wenu wa mawazo au km kuna hospital ambayo naweza pata huduma kutokana na tatizo hili ntashukuru sana!
 
nenda hospital yoyote kuanzia ngazi ya wilaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…