alwiy albeity
Member
- Jul 14, 2015
- 5
- 1
Wakuu,mm ni mjasiriamali niko kwenye kilimo,ila nahitaji kusajili shamba langu kama company limited,nafata taratibu zipi?na pia naomba ushauri wenu juu ya hili ,maana nimeambiwa unapokua na kampuni inayojihusisha na kilimo unaweza kuingiza zana na vitendea kazi nchini bila kulipa kodi.pia naomba msaada juu ya hili.