Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Wana jf swali langu ni kwamba ivi katika historia ya vyuo vikuu tz kuna mwanafunz alipata gpa ya zaid ya 4.8 !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumaini, sauti, Ruco, nyerere memorial, cbe, ifm wanapata hadi 5.0
Wana jf swali langu ni kwamba ivi katika historia ya vyuo vikuu tz kuna mwanafunz alipata gpa ya zaid ya 4.8 !
We ulipata ngapi?Tumaini, sauti, Ruco, nyerere memorial, cbe, ifm wanapata hadi 5.0
Tumaini, sauti, Ruco, nyerere memorial, cbe, ifm wanapata hadi 5.0
mnapewa mark up nyingiii hadi mnageuka kuwa wakichina, GPA zenu zimejaa mark up test ndyo maana mnapata 5.0,elimu yenu ipo kibiashara zaidiHapa umeonyesha dharau ndugu yangu.Kama mwanafunzi anastahili kupata hiyo GPA kwa nini asipewe? Ninyi ndo bado mnafikiri chuo ni UDSM tu na mawazo ya ukale ya kukamatana bila sababu.Ila hongera
We ulipata ngapi?
mnapewa mark up nyingiii hadi mnageuka kuwa wakichina, GPA zenu zimejaa mark up test ndyo maana mnapata 5.0,elimu yenu ipo kibiashara zaidi
tumaini, sauti, ruco, nyerere memorial, cbe, ifm wanapata hadi 5.0
Kwa hayo masup wanayomwaga, hizo 1st class zitatoka wapi?Ivi chuo kama SUA huwa kina 1st class kweli?