msaadaaa wa adaptation of ear to its function

juan david

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
3,924
Reaction score
5,406
hbr za hm ndan nilikuwa naomba mnisaidi adaptation of ear to its function.i need only 7 adaptation of ear to its function
 
Hata ku-google umeshindwa,hebu acha uvivu,muda wa kuandika huu uzi ungeutumia ku-google
 
Daa umenikumbusha mbali dogo la advance...tafuta tiryo la issue boy coordimation page 38 au tiryo la mbuga but mimi issue ndo alinitoa
Lakini apo cha mcng ni kuelezea jinc parts tofauti-tofauti za cochlea znavofanya kaz akina sensory hair receptor,membranes nk
 
unatuabisha watu wa msuli yatima kwani hapo mahali hamna BS, UNDERSTANDING BIOS, CHAND BIOS,PRINCIPAL,FUNCTIONAL APPROACH, eti hamna? komaa dogo
 
thanx bro
 
yah hamna
 
yah hamna

Dogo we kama unataka kujua mengi kwa undani soma BS na UB...lakini kama unataka kufaulu gonga tiryo la issue litakupa matokeo ya kukupeleka muhas,cuhas,kcmc,st.franciss,udsm nk...lakini komaa sana piga pepa za kutosha ukimaliza topic
 
hbr za hm ndan nilikuwa naomba mnisaidi adaptation of ear to its function.i need only 7 adaptation of ear to its function

Hivi mitoto ya siku hizi mna matatizo gani????...najizuia sana kukutukana we mtoto...yaan unakuja kuuliza maswali huku mzma kweli wewe au ni mliberali acha ujinga wewe kasome huko na ukiendelea na tabia hiyo utafeli!!!!!....
 
acha uchoyo wa elim uliyonayo
you are bastard
 
Hivi mitoto ya siku hizi mna matatizo gani????...najizuia sana kukutukana we mtoto...yaan unakuja kuuliza maswali huku mzma kweli wewe au ni mliberali acha ujinga wewe kasome huko na ukiendelea na tabia hiyo utafeli!!!!!....

library zipo kama dar kuna mnazi mmoja, TLSB, Kwa wahindi kisutu nk. pia google ipo.lakini anakuja kupoteza mda kuingia fb na jf akifeli atasingizia eti DR.NDALICHAKO mwonevu...
 
Back
Top Bottom