juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
hbr za hm ndan nilikuwa naomba mnisaidi adaptation of ear to its function.i need only 7 adaptation of ear to its function
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hbr za hm ndan nilikuwa naomba mnisaidi adaptation of ear to its function.i need only 7 adaptation of ear to its function
Hata ku-google umeshindwa,hebu acha uvivu,muda wa kuandika huu uzi ungeutumia ku-google
Daa umenikumbusha mbali dogo la advance...tafuta tiryo la issue boy coordimation page 38 au tiryo la mbuga but mimi issue ndo alinitoa
Lakini apo cha mcng ni kuelezea jinc parts tofauti-tofauti za cochlea znavofanya kaz akina sensory hair receptor,membranes nk
unatuabisha watu wa msuli yatima kwani hapo mahali hamna BS, UNDERSTANDING BIOS, CHAND BIOS,PRINCIPAL,FUNCTIONAL APPROACH, eti hamna? komaa dogo
yah hamna
hbr za hm ndan nilikuwa naomba mnisaidi adaptation of ear to its function.i need only 7 adaptation of ear to its function
Hivi mitoto ya siku hizi mna matatizo gani????...najizuia sana kukutukana we mtoto...yaan unakuja kuuliza maswali huku mzma kweli wewe au ni mliberali acha ujinga wewe kasome huko na ukiendelea na tabia hiyo utafeli!!!!!....