Msaaga madaktari wetu

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
6,921
Reaction score
4,683
Kama kichwa hapo juu kielekezavyo.
Hivi ukipima B.pressure na kipimo kukuelekeza kama hivi hapa chini hua inamaanisha kitu gani haswa?
.
 
Systolic ni kipimo cha pressure kwenye arteries na diastolic ni kipimo cha pressure katikati ya mapigo ya moyo
70 ni mapigo ya moyo kwa dakika

Arteries ndiyo mishipa inayosafirisha damu kutoka kwenye moyo na kuisambaza mwilini

122 = systolic

80 = diastolic

70 = heart beats per minute
 
.
Ahsante mkuu.
Na hii inatofautiana vipi na vile vipimo wanasoma pressure ya juu labda 140 kwa ya chini 90?
 
Reactions: zsm
Hapana
Systolic pressure ni pressure wakati damu inatoka kwenye moyo na diastolic ni pressure wakati damu inarejea kwenye moyo na kuujaza.
Heartbeat upo sawa
 
Inamaana pressure kwenye mishipa inayotoa damu kwenye moyo ni 140 na pressure katikati ya mapigo ya moyo ni 90 hii iko juu kidogo
.
Unasema hii iko juu kidogo mkuu? Nina ndg yangu anaishi na pressure ya 160/100 na hatumii dawa wala hana dalili zozote mbaya.
Hii inaweza kuelezewa je kitaalamu?
 
.
Unasema hii iko juu kidogo mkuu? Nina ndg yangu anaishi na pressure ya 160/100 na hatumii dawa wala hana dalili zozote mbaya.
Hii inaweza kuelezewa je kitaalamu?
Pressure inapanda unapofanya physical activities kama kutembea au kukuambia, kubeba vitu vizito au kuwa na msongo wa mawazo.

Kama ya kwake ni 160/100 kawaida inamaana okipanda inaweza kufikia 180-200 /100-120 hatari yake hapa arteries zinaweza kupasuka na kupata ischemic stroke au coronary arteries kusababisha damage kwenye moyo

Madaktari wamemshauri nini?
 
Hapana
Systolic pressure ni pressure wakati damu inatoka kwenye moyo na diastolic ni pressure wakati damu inarejea kwenye moyo na kuujaza.
Heartbeat upo sawa
hii hapana mkuu
 
Haya Madudu Niliyakimbiaga mdaaa. Najua Ledgers Tuu Na Na Self Review.
 
.
Unasema hii iko juu kidogo mkuu? Nina ndg yangu anaishi na pressure ya 160/100 na hatumii dawa wala hana dalili zozote mbaya.
Hii inaweza kuelezewa je kitaalamu?
pressure ya damu huwa imatofautiana kati ya mtu na mtu, hiyo ya pressure ya juu kuwa 140 kwa wengi inachukuliwa kama upper limit, japo wapo wachache ambao hata ikizidi hapo bado ni sawa kulingana na miili yao na shughuli wanazofanya
 
.
Daktari baada ya kuona haimwathiri walimshauri awe anazingatia nidhamu ya ulaji na unywaji kama kuepuka sukari/chumvi na mafuta na awe na mazoea ya kupima bp mara kwa mara.
 
Thanks kwa ufafanuzi mkuu
 
.
Daktari baada ya kuona haimwathiri walimshauri awe anazingatia nidhamu ya ulaji na unywaji kama kuepuka sukari/chumvi na mafuta na awe na mazoea ya kupima bp mara kwa mara.
Watu tuko tofauti, nilikuwa kwenye mtihani siku moja niliambiwa nihesabu upumuaji wa mama mmoja kwa dakika, kawaida ni 11-20. Huyu mama alikuwa na nane, moyoni nikasema hapa nidanye? Niliamua kuwa mkweli na suoervisoe aka sema umepatia hapumui kawaida kama wengine mapafu yake yana matatizo
 
Hebu hebu nisaidie wewe ushauri wako kwa mtu kama huyu ni nini?
.
Daktari baada ya kuona haimwathiri walimshauri awe anazingatia nidhamu ya ulaji na unywaji kama kuepuka sukari/chumvi na mafuta na awe na mazoea ya kupima bp mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…