Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Systolic ni kipimo cha pressure kwenye arteries na diastolic ni kipimo cha pressure katikati ya mapigo ya moyo
70 ni mapigo ya moyo kwa dakika
Arteries ndiyo mishipa inayosafirisha damu kutoka kwenye moyo na kuisambaza mwilini
122 = systolic
80 = diastolic
70 = heart beats per minute
HapanaSystolic ni kipimo cha pressure kwenye arteries na diastolic ni kipimo cha pressure katikati ya mapigo ya moyo
70 ni mapigo ya moyo kwa dakika
Arteries ndiyo mishipa inayosafirisha damu kutoka kwenye moyo na kuisambaza mwilini
122 = systolic
80 = diastolic
70 = heart beats per minute
Si ndiyo in between heartbeats mkuuHapana
Systolic pressure ni pressure wakati damu inatoka kwenye moyo na diastolic ni pressure wakati damu inarejea kwenye moyo na kuujaza.
Heartbeat upo sawa
.Inamaana pressure kwenye mishipa inayotoa damu kwenye moyo ni 140 na pressure katikati ya mapigo ya moyo ni 90 hii iko juu kidogo
Pressure inapanda unapofanya physical activities kama kutembea au kukuambia, kubeba vitu vizito au kuwa na msongo wa mawazo..
Unasema hii iko juu kidogo mkuu? Nina ndg yangu anaishi na pressure ya 160/100 na hatumii dawa wala hana dalili zozote mbaya.
Hii inaweza kuelezewa je kitaalamu?
hii hapana mkuuHapana
Systolic pressure ni pressure wakati damu inatoka kwenye moyo na diastolic ni pressure wakati damu inarejea kwenye moyo na kuujaza.
Heartbeat upo sawa
pressure ya damu huwa imatofautiana kati ya mtu na mtu, hiyo ya pressure ya juu kuwa 140 kwa wengi inachukuliwa kama upper limit, japo wapo wachache ambao hata ikizidi hapo bado ni sawa kulingana na miili yao na shughuli wanazofanya.
Unasema hii iko juu kidogo mkuu? Nina ndg yangu anaishi na pressure ya 160/100 na hatumii dawa wala hana dalili zozote mbaya.
Hii inaweza kuelezewa je kitaalamu?
.Pressure inapanda unapofanya physical activities kama kutembea au kukuambia, kubeba vitu vizito au kuwa na msongo wa mawazo.
Kama ya kwake ni 160/100 kawaida inamaana okipanda inaweza kufikia 180-200 /100-120 hatari yake hapa arteries zinaweza kupasuka na kupata ischemic stroke au coronary arteries kusababisha damage kwenye moyo
Madaktari wamemshauri nini?
Thanks kwa ufafanuzi mkuupressure ya damu huwa imatofautiana kati ya mtu na mtu, hiyo ya pressure ya juu kuwa 140 kwa wengi inachukuliwa kama upper limit, japo wapo wachache ambao hata ikizidi hapo bado ni sawa kulingana na miili yao na shughuli wanazofanya
Watu tuko tofauti, nilikuwa kwenye mtihani siku moja niliambiwa nihesabu upumuaji wa mama mmoja kwa dakika, kawaida ni 11-20. Huyu mama alikuwa na nane, moyoni nikasema hapa nidanye? Niliamua kuwa mkweli na suoervisoe aka sema umepatia hapumui kawaida kama wengine mapafu yake yana matatizo.
Daktari baada ya kuona haimwathiri walimshauri awe anazingatia nidhamu ya ulaji na unywaji kama kuepuka sukari/chumvi na mafuta na awe na mazoea ya kupima bp mara kwa mara.
Hebu hebu nisaidie wewe ushauri wako kwa mtu kama huyu ni nini?Watu tuko tofauti, nilikuwa kwenye mtihani siku moja niliambiwa nihesabu upumuaji wa mama mmoja kwa dakika, kawaida ni 11-20. Huyu mama alikuwa na nane, moyoni nikasema hapa nidanye? Niliamua kuwa mkweli na suoervisoe aka sema umepatia hapumui kawaida kama wengine mapafu yake yana matatizo
.
Daktari baada ya kuona haimwathiri walimshauri awe anazingatia nidhamu ya ulaji na unywaji kama kuepuka sukari/chumvi na mafuta na awe na mazoea ya kupima bp mara kwa mara.