Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 366
Nimebahatika kuitwa kwenye interview utumishi kwa kada ya procurement na hii ndio interview yangu ya kwanza utumishi naomba kupata uzoefu kwa watu wa kada ya ugavi waliobahatika kupita kwenye hichi kipindi.....
Ninachohitaji ni maswali wanayopendelea kuuliza both oral and written.
Mbinu za ushindi kwenye interview
Ninachohitaji ni maswali wanayopendelea kuuliza both oral and written.
Mbinu za ushindi kwenye interview