O Oldaganje Member Joined Apr 9, 2014 Posts 33 Reaction score 9 May 2, 2014 #1 Habari ya asubuhi.Kwenu ma dactar mwanangu wa mwaka mmoja na nusu kanywa mafuta ya taa.
christopher stuat Member Joined Feb 7, 2014 Posts 38 Reaction score 0 May 2, 2014 #2 mpe maziwa kwanza akate sumu then mpereke hospital kwa msaada zaid
gumboot JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 263 Reaction score 93 May 2, 2014 #3 pole sana mwuwaishe hospital mafuta ya taa ni hatari sana,,,,
N nkululeko JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 275 Reaction score 94 May 2, 2014 #4 Jamani pole..mafuta ya taa ni hatari..hope umemuwaisha hospital na ukirudi waambie hao waliokuwa na mtoto vitu kama mafuta ya taa sio vya kuweka ovyoovyo..
Jamani pole..mafuta ya taa ni hatari..hope umemuwaisha hospital na ukirudi waambie hao waliokuwa na mtoto vitu kama mafuta ya taa sio vya kuweka ovyoovyo..