Msada jamani

Msada jamani

Oldaganje

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
33
Reaction score
9
Habari ya asubuhi.Kwenu ma dactar mwanangu wa mwaka mmoja na nusu kanywa mafuta ya taa.
 
pole sana mwuwaishe hospital mafuta ya taa ni hatari sana,,,,
 
Jamani pole..mafuta ya taa ni hatari..hope umemuwaisha hospital na ukirudi waambie hao waliokuwa na mtoto vitu kama mafuta ya taa sio vya kuweka ovyoovyo..
 
Back
Top Bottom