baby nillaah
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 110
- 64
Hakikisha unakaa mwenyewe, ukimuweka mtu tu imekula kwako.Nunua fridge weka vinywaji au weka accessories za simu kama chargers,covers,earphones na kadhalika....
Sorry not meant to uHakikisha unakaa mwenyewe, ukimuweka mtu tu imekula kwako.
Kama umepanga fremu nunua fridge una vinywaji