Msada kuhusu biashara ya tigopesa

Msada kuhusu biashara ya tigopesa

baby nillaah

Senior Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
110
Reaction score
64
Habari za SAA hizi wanajamii forum ....nmekuja na hii mada lengo n ushaur coz nmekodi fremu kwa bei kidogo lengo n kufungua huduma y pesa kam airtelmoney, tigopesa, m pesa......msaad je niongezee na nini kingine kusud niweze kuongeza ka biashara kusud nisitegemee pesa y mitandao pekee ilikukuza mtaji wangu......ahsanteni
 
Hakikisha unakaa mwenyewe, ukimuweka mtu tu imekula kwako.
 
Back
Top Bottom