Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 466
- 273
Habarini wadau,naomba msaada kwa yeyote ambae anaweza kuwa na mawasiliano ya sehemu ambayo naweza nikapata taa ya nyuma upande wa dereva ya gari aina ya Toyota Belta,leo nimejikuta nagonga mti wakati narudi nyuma.Natanguliza shukran kwa yeyote atakaesaidia.