Msada: Usajili wa gari

Msada: Usajili wa gari

kingzeddy

Senior Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
185
Reaction score
201
Ndugu zangu hivi inawezekana kusajili upya gari? Mfano kutoka Namba A to E?
 
Nadhani labda ununue gari nyingine (salvage) ambayo make na model ni kama yako na ilikuwa namba E then ndo uje uvishe hiyo # kwenye gari yako.
 
1000139670.jpg
 
Chuma imesimama ila namba sasa[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Haiwezekani.
Kuna mwamba alikuwa na Altezza namba D ikapata ajali Chunya huko ikawa written off. Akaja mjini huku akachukua Tezza nyingine ila namba C. Sasa hiyo namba C imevishwa number plates za ile iliyokuwa written off. Kuwezekana inawezekana bila usumbufu ila it's not legal.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Nyie si ndio mnasemaga gari sio namba bali engene iwe imesimama na vikolokolo gani sijui. Haya vimba na namba A sasa [emoji3][emoji3][emoji3]!!!
 
Ipeleke Zanzibar itasajiliwa namba mpya kule kisha irudishe bara utapata namba mpya kabisa
 
Back
Top Bottom